Je, Umormoni ni Ukristo?

Ufananisho wa Mormoni na Ukristo wa kihistoria.

Je, Umormoni ni Ukristo? Swali hili linaweza kuwa la kushangaza kwa wafuasi wa Mormoni na pia kwa baadhi ya wakristo. Wafuasi wa Mormoni watatambua ya kwamba wao huhusisha Biblia kama mojawapo ya vitabu vinne ambavyo wanavitambua kama Neno takatifu na pia kuamini Yesu Kristo ni jambo kuu katika imani yao kama inavyothibitishwa na jina lao rasmi la “Kanisa la Yesu Kristo wa Watakatifu wa Siku Hizi.” Zaidi ya hayo, wakristo wengi wameisikia kwaya ya kanisa la Mormoni ikiimba nyimbo za kikristo na wakapendezwa sana na jinsi dhehebu la Mormoni linavyoshikilia maadili/mafundisho mema ya hali ya juu na kuweko kwa familia zenye nguvu. Je, hii haidhibitishi ya kuwa kanisa la Mormoni ni la Kikristo…

Read the full article at: irr.org/je-umormoni-ni-ukristo